Wambura sasa ambana Karia kieleweke - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wambura sasa ambana Karia kieleweke

Katika mahojiano maalumu, Wambura alisema amempa muda hadi wiki ijayo kujibu barua hiyo na akikaa kimya basi atafuata taratibu nyingine za kisheria kwa kurudi mahakamani kujulishwa kupuuzwa kwa amri waliyotoa dhidi yake na TFF.


Source: MwanaspotiRead More