Wamechezea vichapo England hadi aibu! - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wamechezea vichapo England hadi aibu!

Jose Mourinho amekumbana na vichapo vitatu kwenye Ligi Kuu England kwa msimu huu huko Manchester United katika mechi nane alizocheza. Hata hivyo, jambo hilo bado halimwingizi kwenye rekodi za makocha waliofungwa mechi nyingi kwenye Ligi Kuu England tangu ilipoanza. Hii ndio orodha ya makocha sita ambao wamechapwa mechi nyingi zaidi kwenye Ligi Kuu England.


Source: MwanaspotiRead More