Wamedamshi kinoma yaani! - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wamedamshi kinoma yaani!

Huyu pia alikuwa mmoja wa Mavideo Queen matata katika kunogesha video za wanamuziki kwa sasa ni marehemu, Agnes Gerald a.k.a Masogange alipata umaarufu baada ya kuuza sura kwenye video ya Belle 9 na wimbo wa ‘Masogange’na hadi anafariki jina lake maarufu ni Masogange ikiwa jina lake halisi ni Agnes Gerald.


Source: MwanaspotiRead More