Wameliamsha kinoma - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wameliamsha kinoma

TAMASHA la Simba ni moja kati ya matukio makubwa nchini kwani ni sehemu ya maadhimisho ya klabu hiyo kutimiza miaka takribani 82 tangu ilipoanzishwa mwaka 1936. Hutumika kutambulisha kikosi, vifaa na jezi ambazo Simba itatumia kwenye msimu wa mashindano unaofuata lakini pia huambatana na matukio kadhaa yenye lengo la kuwakutanisha pamoja, mashabiki, wapenzi, wanachama, viongozi na wachezaji wa klabu hiyo.


Source: MwanaspotiRead More