Wametobolewa! Bandari FC yavuruga rekodi ya Gor Mahia - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wametobolewa! Bandari FC yavuruga rekodi ya Gor Mahia

Hatimaye utabiri kuwa Agosti utakuwa mwezi wa majanga kwa mabingwa watetezi wa KPL, Gor Mahia, umeanza kuonekana baada ya rekodi ya kucheza bila kutobolewa kuvurugwa na Bandari FC kwa kipigo cha mabao 2-1, kule Mbaraki, Mombasa.


Source: MwanaspotiRead More