WANA CCM SINGIDA MASHARIKI WAOMBWA KUSHIRIKIANA NA KUWA WAMOJA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANA CCM SINGIDA MASHARIKI WAOMBWA KUSHIRIKIANA NA KUWA WAMOJA

 Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Eribariki Kingu (kulia),akimkabidhi funguo ya pikipiki Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Mika Likapakapa aliyotoa kwa Wana CCM wa Kata ya Siuyu baada ya kumchagua Mbunge na Diwani kupitia chama hicho katika mkutano uliofanyika hivi karibuni wilayani humo. Kushoto ni Diwani wa kata hiyo, Selestine Yunde. Ofisa Mtendaji Kata wa  Siuyu, Bakari Kaduguda, akiwatambulisha viongozi wa kata hiyo kwenye mkutano huo. Katibu wa CCM Kata ya Siuyu, Tito Lissu, akizungumza kwenye mkutano huo. Mwenyekiti wa CCM Kata ya Siuyu, Yasin Dao, akizungumza kwenye mkutano huo. Katibu Muenezi na Itikadi wa CCM Wilaya ya Ikungi, Pius Sanga, akizungumza kwenye mkutano huo. Diwani wa Kata ya Siuyu, Selestine Yunde akizungumza na Wana CCM wa Kata hiyo katika mkutano wa kuwapongeza baada ya kuchaguliwa kuongoza kata hiyo uliofanyika hivi karibuni. Wataalamu wa Kata ya Siuyu wakiwa kwenye mkutano huo. Mkutano ukiendeleaMakofi ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More