WANA GDSS WAPEWA ELIMU YA NAMNA YA KULITUMIA DAWATI LA JINSIA KATIKA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANA GDSS WAPEWA ELIMU YA NAMNA YA KULITUMIA DAWATI LA JINSIA KATIKA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO

Afisa wa Polisi kutoka Dawati la jinsia Mkoa wa kipolisi Kimara Afande Anna Mihayo akitoa ufafanuzi wa jambo mbele ya wanaharakati wa semina za jinsia na maendeleo (GDSS)
Jeshi la polisi nchini kwa kushirikiana na asasi za kiraia zinazotetea haki na maslahi ya watoto na wanawake zimetakiwa kuhakikisha zinasambaza elimu katika kata zote, ikiwemo kufanya makongamano pamoja na kutoa matangazo kwa wingi kwenye Tv na redio ili wananchi wajua madhara ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto.
Hayo yameelezwa mapema wiki hii jijini Dar es salaam na Afisa wa polisi kutoka Dawati la jinsia Mkoa wa kipolisi Kimara Afande Anna Mihayo wakati akitoa elimu kwa wanaharakati wa GDSS kuhusu nafasi ya mwananchi katika kutokomeza ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto kupitia Dawati la Jinsia.
Afisa huyo amesema kuwa ili kufanikisha jambo hili ni vema wananchi kushirikiana kwa pamoja na jeshi la polisi kwa kuweza kuwafichua watekelezaji wa ukatili huo kwa kuwa ni watu tunaoishi nao katika maisha yet... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More