WANACCM KAGERA WACHANGIA UJENZI WA DARASA LA SEKONDARI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANACCM KAGERA WACHANGIA UJENZI WA DARASA LA SEKONDARI

Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Kagera, Ramadan Kambuga (aliyevaa shati ya rangi ya njano) akiwaongoza makada wenzake wa chama hicho katika ujenzi wa chumba cha darasa katika Sekondari ya Kalema Kata Buendangabo ikiwa ni utekelezaji wa ilani ya CCM.Bw. Ramadan Kambuga akipanda mti katika eneo la shule hiyo.
Na Mwandishi Wetu
WANACHAMA waChama cha Mapinduzi (CCM) kwa Kushirikiana na viongozi wa chama hicho ngazi ya Wilaya Bukoba mjini mkoani Kagera wameshiriki zoezi la usombaji mawe kwa ajili ya ujenzi wa chumba cha darasa katika Shule ya Sekondari ya Kalema Kata Buendangabo na kupanda miti ikiwa ni kuazimisha miaka 42 ya kuzaliwa kwa chama hicho. 
Mjumbe wa Halmashauri Kuu wa chama hicho Mkoa wa Kagera, Ramadan Kambuga (aliyevaa shati ya rangi ya njano) ambaye pia ameshiriki zoezi hilo,amesema kuwa ujenzi wa chumba hicho cha darasa ni utekelezaji wa ilani ya CCM. 
Kutokana na msongamano wa manafunzi darasani katika shule hiyo Bwana Kambuga ametoa kiasi ... Continue reading ->Source: KajunasonRead More