WANACHAMA WA BARAZA LA KILIMO TANZANIA WATAKIWA KUZINGATIA WELEDI KATIKA UTENDAJI. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANACHAMA WA BARAZA LA KILIMO TANZANIA WATAKIWA KUZINGATIA WELEDI KATIKA UTENDAJI.Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la kilimo Tanzania Bi Janeth Bitegeko akifunga semina ya siku mbili iliyoandaliwa na Baraza la Kilimo kwa ajili ya kuwajengea uwezo wanachama wa Baraza la Kilimo, ambapo miongoni mwa taasisi zilizoshiriki semina hiyo ambayo ni wanachama wa Baraza la Kilimo ni pamoja na TAMPRODA, SECO, SUWA Farmers Association, Agri link Tanzania na Morogoro Rural Agro Dealers Association, ambapo pamoja na masuala mengine amewataka wanachama hao kuhakikisha wanazingatia uongozi wa utawala bora pamoja na kuimarisha mawasiliano kiutendaji.mafunzo hayo ya siku mbili yamefanyika Dra es salaam.
Mkufunzi kutoka Baraza la Kilimo Tanzania Dkt Freddy Gamba akisisitiza kuhusu umuhimu wa watendaji kuzingatia mawasilaino sahihi, lakini kuzingatia uongozi wenye ueledi wakati wa kutekeleza majukumu yao, mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Baraza la Kilimo Tanzania yaliwahusisha wanachama wa Baraza la Kilimo yaliyokuwa yakilenga kuwafundisha uongozi na utawala bora.
Mwakilishi... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More