WANACHAMA WA YANGA WAIGOMEA TFF KUWASIMAMIA UCHAGUZI WAO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANACHAMA WA YANGA WAIGOMEA TFF KUWASIMAMIA UCHAGUZI WAO


*Wawaoma BMT, TFF kuheshimu maamuzi ya mkutano mkuu wa Yanga wa kumtambua Yusuf Manji kama Mwenyekiti wao.
*kuhusu uchaguzi, Mwenyekiti wa Matawi aitwa kamati ya maadili kesho
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii

WANACHAMA wa Klabu ya Yanga kwa pam.oja wameazimia kuweka msimamo wao wa kutotaka uchaguzi wao kusimamiwa na kamati ya uchaguzi ya TFF na Yusuf Manji bado ni Mwenyekiti wao wanamtambua.
Baraza la Michezo (BMT) wiki iliyopita walitoa tamko la kuwataka TFF washirikiane na Yanga kuhakikisha wanafanya uchaguzi mkuu wa kujaza nafasi zilizokuwa wazi baada ya vionozi wake kijiuzulu na pia kujaza nafasi ya Mwenyekiti Yusuf Manji.Hayo yamefikiwa kwa kauli moja baada ya viongozi wa matawi kukutana na kujadiliana baada ya Shitrikisho la Mpira wa Miguu (TFF) kutangaza mchakato wa uchaguzi wa Yanga na kutaja tarehe ya kufanyika uchaguzi huo.
Akizungumza baada ya kumalizika kwa mkutano wao wa ndani, Mwenyekiti wa Matawi Bakili Makele amesema kuwa wao kama Yanga hawajakataa kufanya uchaguzi ila hawak... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More