WANACHUO WATAKIWA KUJIWEKEA MALENGO KATIKA MATUMIZI YA FEDHA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANACHUO WATAKIWA KUJIWEKEA MALENGO KATIKA MATUMIZI YA FEDHA


Mkurugenzi wa UNILIFE CAMPAS, Dosi Said Dosi wakati akitoa somo la kujitambua kwa wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) ajili ya kuwajengea uwezo wa kujiwekea akiba yaliyoandaliwa na UNILIFE CAMPAS jijini Dar es Salaam. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.Wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) wakifuatilia.
 Meneja wa Benki ya NBC tawi la Muhimbili Alphonce Musiba akitoa nasaha zake kwa wanafunzi wa chuo cha Usimamizi wa fedha mapema leo wakati wakitoa masomo kwa ajili ya kuwajengea uwezo wa kujiwekea akiba yaliyoandaliwa na UNILIFE CAMPAS jijini Dar es Salaam.
Mwanzilishi wa Smart Me App, Innocent Mathias amewataka vijana wenzake kuwa msitari wa mbele kuweka malengo yao katika masomo huku wakijiwekea akiba katika kipato cha fedha wanazopata.Mwanzilishi mwenza wa Smart Me App, Edger Lwambano nnocent akiongea machache.
Afisa Mauzo wa Benki ya NBC tawi la Muhimbili, Jane Haule akitoa machache kwa wanafunzi wa chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM). Wanafunzi wakipata ... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More