Wanafunzi 199 wa msingi Bukoba Vijijini wapata afueni - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wanafunzi 199 wa msingi Bukoba Vijijini wapata afueni

JUMLA ya wanafunzi 199 wanaosoma darasa la VII kwa mwaka 2019 katika shule za msingi nne, zilizopo kwenye Kata ya Kasharu katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini, wanatarajia kuondokana na adha ya kutembea urefu wa kilometa 16 kuifuata Shule ya Sekondari katika Kata ya Kishogo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kagera … (endelea). Kwa kipindi cha zaidi ya ...


Source: MwanahalisiRead More