Wanafunzi 2,615 Mwanza wasoma kwa ‘taabu’ - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wanafunzi 2,615 Mwanza wasoma kwa ‘taabu’

WANAFUNZI  2,615 wa Shule ya Msingi Kanindo iliyopo Kata ya Kishili jijini Mwanza wanalazimika kusoma kwa  zamu  ili kuachiana vyumba vya madarasa vilivyopo  kitendo ambacho kinaonekana kuwafanya walimu kushindwa kutimiza wajibu wao kikamilifu. Anaripoti Moses Mseti, Mwanza … (endelea) Wingi wa wanafunzi hao ukilinganisha na vyumba sita vya madarasa vilivyopo, vimeufanya uongozi wa shule  hiyo kuwagawa wanafunzi  hao katika makundi ...


Source: MwanahalisiRead More