Wanafunzi 357 wafutiwa matokeo - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wanafunzi 357 wafutiwa matokeo

Baraza la Mitihani nchini limetangaza matokeo ya mtihani wa  darasa la saba ambao ulifanyika kwa ajili ya kuhitimu shule ya msing,i ambapo matokeo hayo yanatajwa kuongezeka kwa ufaulu kwa 4.96%, ukilinganisha na matokeo ya mwaka 2017, ambapo ufaulu ulikuwa ni 72.76 na mwaka huu ni 78.38. Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani nchini Dk. Charles


Source: Kwanza TVRead More