Wanafunzi nane wafutiwa matokeo ya mtihani kidato cha Sita - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wanafunzi nane wafutiwa matokeo ya mtihani kidato cha Sita

Baraza la taifa (Necta), limefuta matokeo ya watahiniwa wanane, waliofanya mtihani wa kidato cha sita kutokana na udanganyifu. Akitangaza matokeo hayo leo Julai 13, Katibu Mtendaji wa Necta, Charles Msonde amesema watahaniwa hao walibainika kufanya udanganyifu wakati wa mtihani na kati yao wanane waliofutiwa matokeo hayo, wanne ni kutoka shule, na wanne wa kujitegemea. Aidha


Source: Kwanza TVRead More