WANAFUNZI VYUO VIKUU WAALIKWA KUJIFUNZA TEKNOLOJIA MPYA YA KUFUA UMEME WA GESI KINYEREZI II - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANAFUNZI VYUO VIKUU WAALIKWA KUJIFUNZA TEKNOLOJIA MPYA YA KUFUA UMEME WA GESI KINYEREZI II

  NA K-VIS BLOG/Khalfan Said.
MITAMBO ya kufua umeme wa gesi asilia kwenye kituo cha Kinyerezi II jijini Dar es Salaam imetumia teknolojia ya kisasa kabisa ijulikanayom kama combine cycle na kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki kutumia teknolojia hiyo. Akifafanua kuhusu teknolojia hiyo, Meneja Miradi (uzalishaji) wa Shirika la Umeme Nchini TANESCO, Mhandisi Stephene S. A. Manda, amesema baada ya mitambo ya kufua umeme utokanao na gesi, mvuke unaozalishwa kwa awamu ya kwanza kutokana na joto
hupelekwa tena kwenye mtambo mwingine na huko unazalisha umeme wa awamu ya pili. 


Alisema, tayari TANESCO imepokea maombi kutoka nchi mbalimbali zikiwemo zile za SADC kuja kujifunza teknolojia hiyo, ambapo katika mitambo nane ya kufua umeme
iliyoko Kinyerezi II, miwili ni ile itokanayo na mvuke (steam turbines)
“Tulivyokuwa na mkutano wa SAPP kule Arusha yaani Southern Africa Power Pool nchi mbalimbali zimeonyesha nia ya kuja kujifunza teknolojia hii.” Alisema


Mhandisi Manda ametoa wito kwa vyuo ... Continue reading ->Source: KajunasonRead More