WANAHARAKATI WAPEWA ELIMU JUU MIKOPO YA BIASHARA NA MATUMIZI YAKE - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANAHARAKATI WAPEWA ELIMU JUU MIKOPO YA BIASHARA NA MATUMIZI YAKE

Benki pamoja na taasisi mbalimbali zinazojihusisha na utoaji wa mikopo hapa nchini zimetakiwa kuwa na kitengo maalum cha kumshauri mteja wake kabla ya kukopa, ili kupunguza wimbi la wateja wanaofilisiwa baada ya kushindwa kurejesha pesa wanazodaiwa na benki husika.Wananchi kutoka kata mbalimbali za jiji la Dar es salaam wakifuatilia semina.
Hayo yameelezwa na baadhi ya wananchi walioshiriki katika semina ya GDSS mapema jijini Dar es salaam, ambapo wananchi wengi wamezitupia lawama benki nyingi kwa kudai kuwa maafisa wake hawana utu wala huruma  katika kudai madeni yao.
Lakini pia imeelezwa kuwa lugha inayotumiwa na benki zote sio rafiki kwa wateja wengi kwani inasababisha wananchi kujiingiza katika majanga makubwa bila wenyewe kujijua, na kuombwa ikiwezekana itumike lugha ya Kiswahili kwani sio wananchi wote wanaelewa kingereza.Mwananchi kutokea kata ya Kipunguni Selemani Bishagazi akichangia mada na kuonyesha msisitizo juu ya kile anachokiamini yeye.
Akiongea katika semina hiyo Mwanahar... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More