WANANCHI JIMBO LA BUYUNGU WAPIGA KURA KWA AMANI NA UTULIVU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANANCHI JIMBO LA BUYUNGU WAPIGA KURA KWA AMANI NA UTULIVU
Baadhi ya Wakazi wa Jimbo la Buyungu waliojitokeza Kupiga Kura kumchagua Mbunge wao wakiwa kwenye mistari kuingia ndani ya Kituo cha Kupigia Kura wilayani Kakonko leo. Katika uchaguzi huo vyama 10 vya Siasa vimesimamisha wagombea.
Karani mwongozaji wa Kituo cha kupigia Kura Na. 1 katika ukumbi wa mikutano wa wilaya ya Kakonko akitoa maelekezo kwa wapiga Kura waliojitokeza kutimiza haki yao ya kikatiba ya kumchagua Mbunge wao katika jimbo la Buyungu leo.
Mkazi wa wilaya ya Kakonko akipiga kura yake kumchagua Mbunge wa Jimbo la Buyungu leo.
Mkazi wa wilaya ya Kakonko akipiga kura yake kumchagua Mbunge wa Jimbo la Buyungu leo.
Msimamizi Msaidizi wa Kituo cha Kupigia Kura akihakiki majina ya Mpiga kura katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kabla ya kumruhusu mpiga Kura kutimiza haki yake ya kushiriki kupiga Kura katika Uchaguzi mdogo wa jimbo la Buyungu leo.
Mmoja wa wapiga Kura ambaye ni mzee akipata usaidizi wa kutolewa nje ya kituo cha kupigia kura mara baada ya kupiga... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More