WANANCHI LINDENI VYANZO VYA MAJI ILI VIDUMU - MHANDISI MODESTER MUSHI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANANCHI LINDENI VYANZO VYA MAJI ILI VIDUMU - MHANDISI MODESTER MUSHI


Mkurugenzi wa Kitengo cha Mazingira Mamlaka ya Majisafi na Majitaka DAWASA Mhandisi Modester Mushi akizungumzia umuhimu wa utunzaji wa mazingira ili kulinda vyanzo vya maji na kurudisha ubora wa maeneo pindi miradi inapomalizika leo kwenye Kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Maji kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii

MKURUGENZI wa Kitengo cha Mazingira Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (DAWASA) Mhandisi Modester Mushi amewataka wananchi kuendelea kutunza mazingira ili kulinda vyanzo vya maji.
Hayo ameyasema wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Maji yaliyofikia tamati leo kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam. Mhandisi Modester amesema mazingira yanatakiwa yalindwe katika nyanja zote kuanzia kwenye vyanzo vya maji, miradi inayojengwa na kupata ushauri kutoka Baraza la Mazingira NEMC na Wizara husika.
Amesema, katika sheria ya mazingira ya 2004 imeweka wazi kuwa kwenye kila mradi uandaliwe tathimini itakayoangalia athari za kij... Continue reading ->
Source: KajunasonRead More