WANANCHI MKOANI SINGIDA KUMPA HESHIMA RAIS DK. MAGUFULI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANANCHI MKOANI SINGIDA KUMPA HESHIMA RAIS DK. MAGUFULI

Mheshimiwa Musa Sima na Elibariki Kingu, wakiserebuka na wanachama wenzao wa CCM na wananchi huku wakiwa wamejitwika vibuyu. 'Hakika ina pendeza sanaaaaa.'Mbunge wa Singida Magharibi, Mheshimiwa Elibariki Kingu (kulia), ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Kata ya Unyambwa Wilaya ya Singida mjini, Abdulazizi Hamisi Labu, akihutubia wananchi na wana CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Kitongoji cha Unyambwa Juu mkoani humo jana.Mbunge wa Singida Magharibi, Mheshimiwa Elibariki Kingu (kulia), akimdani mgombea huyo, Abdulazizi Labu.Naibu wa Waziri wa Mazingira na Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini, Mheshimiwa Musa Ramadhan Sima, akihutubia kwenye mkutano huo.Kampeni Meneja wa uchaguzi huo, Selemani Hamisi Mdulu, akizungumza kwenye mkutano huo.Wazee wa kata hiyo wakifuatilia mkutano huo.Muonekano wa meza kuu kwenye mkutano huo.Naibu wa Waziri wa Mazingira... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More