WANANCHI WA KIGOMBE WATAKIWA KUACHANA NA BIASHARA ZA MAGENDO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANANCHI WA KIGOMBE WATAKIWA KUACHANA NA BIASHARA ZA MAGENDO

MKURUGENZI wa Huduma na Elimu kwa mlipa kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Richard Kayombo akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kigombe Kata ya Kigombe wilayani Muheza umuhimu wa kulipa kodi na kuacha kujihusisha na uingizaji wa bidhaa kwa njia za magendo MKURUGENZI wa Huduma na Elimu kwa mlipa kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Richard Kayombo akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kigombe Kata ya Kigombe wilayani Muheza ambao hawapo pichani juu ya umuhimu wa kulipa kodi na kuacha kujihusisha na uingizaji wa bidhaa kwa njia za magendo kulia ni Kaimu Meneja wa TRA Mkoani Tanga Nazarius Mfikwa kushoto ni Mwenyekiti wa Kijiji cha Kigombe Bakari Akida Ally. Kaimu Meneja wa TRA Mkoani Tanga Nazarius Mfikwa akizngumza wakati wa mkutano huo kushoto  ni  MKURUGENZI wa Huduma na Elimu kwa mlipa kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Richard Kayombo
AFISA Mfawidhi wa Forodha Bandari ya Tanga Zahor Makame akizungumza katika mkutano huo
 MKURUGENZI wa Huduma na Elimu kwa mlipa kodi M... Continue reading ->Source: KajunasonRead More