WANANCHI WA KIJIJI CHA WAMI NA MBUNGE MGIMWA WAIKATAA BARABARA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANANCHI WA KIJIJI CHA WAMI NA MBUNGE MGIMWA WAIKATAA BARABARA

Mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini Mahmoud Mgimwa akiungana na wananchi kuikataa barabara ambayo inatengenezwa na kampuni ya Fabec civil,Building and Telecom Engineers inayotoka katika kijiji cha Vikula kwenda wami(mbalwe) akiwa na sambamba na diwani wa kata ya Ihalimba.Mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini Mahmoud Mgimwa akiungana na wananchi kuikataa barabara ambayo inatengenezwa na kampuni ya Fabec civil,Building and Telecom Engineers inayotoka katika kijiji cha Vikula kwenda wami(mbalwe)Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini wakimsikiliza mbunge wao juu ya utengenezaji wa barabara unaotekelezwa na kampuni ya Fabec civil,Building and Telecom Engineers inayotoka katika kijiji cha Vikula kwenda wami(mbalwe)
NA FREDY MGUNDA, IRINGA.
Wananchi wa kijiji cha Wami(mbalwe) kilichopo katika kata ya Ihalimba wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wameikataa barabara inayotoka katika kijiji cha Vikula kwenda wami(mbalwe) kutokana na kutengenezwa chini ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More