WANANCHI WA LINDI, PWANI KUPATA MAWASILIANO YA UHAKIKA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANANCHI WA LINDI, PWANI KUPATA MAWASILIANO YA UHAKIKA

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye amewahakikishia wananchi wa baadhi ya vijiji ambavyo havina mawasiliano mkoani Lindi na Pwani kuwa Serikali ya Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli inahakikisha kuwa wananchi waishio kwenye vijiji hivyo wanapata huduma za mawasiliano ya uhakika
Nditiye ameyasema hayo akiwa kwenye ziara yake ya kukagua changamoto za hali ya upatikanaji wa huduma za mawasiliano kwa wananchi waishio maeneo ya Liwale, Lindi Vijijini, Mtama, Kibiti na Rufiji kwenye mkoa wa Lindi na Pwani baada ya kupata kilio kutoka kwa wabunge wanaowakilisha wanananchi wa maeneo hayo wakati wa kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania cha mwezi Novemba mwaka huu
Amesema kuwa Sekta ya Mawasiliano ni sekta inayoshika nafasi ya pili kwa kuchangia pato la taifa katika kipindi cha mwaka 2016/2107 kwa kiwango cha asilimia 13.1 ambapo mawasiliano yana changui kwa kiasi kikubwa ukuaji wa uchumi wa taifa letu ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More