WANANCHI WA LINDI, PWANI KUPATA MAWASILIANO YA UHAKIKA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANANCHI WA LINDI, PWANI KUPATA MAWASILIANO YA UHAKIKA

 Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye akifafanua jambo kwa wananchi wa kijiji cha Chihuta, Mtama mkoani Lindi kuhusu upatikanaji wa huduma za mawasiliano wakati wa ziara yake mkoani humo. Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi Shaibu Ndemanga Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (alyeinua mikono) akijadiliana na Mkuu wa Wilaya ya Liwale, Sara Chiwamba kuhusu upatikanaji wa mawasiliano kwenye kata ya Marui wakati wa ziara yake Wilayani humo ya kukagua ukosefu wa mawasiliano. Wa kwanza kulia mwenye kofia nyeupe ni Mbunge wa jimbo hilo Zuberi Kuchauka. Wananchi wa kijiji cha Chihuta, Mtama mkoani Lindi wakimuonesha Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Nditiye (hayupo pichani) namna wanavyotega mawasiliano kwenye simu zao wakati wa ziara yake ya kukagua changamoto za mawasiliano mkoani humo.Wananchi wa kijiji cha Marui, Wilaya ya Liwale mkoani Lindi wakimsikiliza kwa makini Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mh... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More