WANANCHI WA MONDULI WAISHUKURU SERIKALI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANANCHI WA MONDULI WAISHUKURU SERIKALI

Wananchi wa Mto wa mbu na Makuyuni wilayani Monduli Mkoani Arusha wameishukuru Serikali inayoongozwa na Rais Dk. John Magufuli kwa uboreshaji wa huduma za afya wilayani humo. Wananchi hao wametoa pongezi hizo katika ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo ya kukagua mwenendo wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo. 
Waziri Jafo anakagua miradi ya maendeleo na kufanya ufuatiliaji wa maagizo yake aliyo yatoa miezi ya nyuma katika mikoa mbalimbali hapa nchini ambapo kwasasa ametokea mikoa ya Simiyu, Mwanza, Geita, Kagera, na kigoma. Hatua ya ziara hiyo ilitokana hivi karibuni serikali imepeleka fedha katika kituo cha afya Mtowambu kiasi cha shilingi milioni 400 na baadae imepeleka fedha zingine shilingi milioni 400 katika kituo cha afya Makuyuni kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu. 
Katika ziara ya Waziri hiyo wilayani Monduli, Wananchi hao wameishukuru serikali na kwamba hatua hiyo itaboresha na kuwezesha huduma bora kutolewa kwen... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More