WANANCHI WAFURAHIA OFA YA DANUBE - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANANCHI WAFURAHIA OFA YA DANUBE

Mmoja wa wateja waliotembelea katika duka la Danube la GSM Group, lililopo Mlimani City jijini Dar es Salaam, Miss Tanzania 2005,Nancy Sumari(katikati) akionyeshwa baadhi ya biddhaa zinazouzwa dukani hapo kwa BEI CHEE na Afisa Mauzo wa Duka hilo,Habiba Said maduka hayo yameanzisha kampeni ya”BEI CHEE” yenye lengo la punguzo la bei kwa asilimia 70% ili kuwanufaisha wateja wake hususani msimu huu wa maandalizi ya sikukuu kwa bidhaa mbalimbali katika maduka yote yaliyopo katika Mall ya Mlimani City na Pugu,Kushoto ni Meneja Uendeshaji wa maduka hayo yaliyopo chini ya GSM Group,Haji Mfikirwa.Afisa Mauzo wa Duka la Danube la GSM Group lililop Mlimani city jijini Dar es Salaam, Habiba Said (kushoto)akimuonyesha moja ya chombo cha kuwekea matunda,Miss Tanzania 2005,Nancy Sumari (kulia)ambaye alitembelea duka hilo kununua vitu mbalimbali, Maduka hayo yameanzisha kampeni ya”BEI CHEE” yenye lengo la punguzo la bei kwa asilimia 70% ili kuwanufaisha wateja wake hususani msimu huu wa maanda... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More