WANANCHI WANAENDELEA KUNUFAIKA NA MFUMO WA USHIRIKI-DKT TIZEBA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANANCHI WANAENDELEA KUNUFAIKA NA MFUMO WA USHIRIKI-DKT TIZEBA

Waziri wa kilimo Mhandisi Dkt Charles Tizeba akitoa taarifa ya ukusanyaji, Ukoboaji na uuzaji wa kahawa Mkoani Kagera katika msimu wa mwaka 2018/2019 kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa (Mb) kwenye mkutano wa wadau wa kahawa katika ukumbi wa ELCT Mjini Bukoba. (Picha Na Mathias Canal-WK)
Na Mathias Canal-WK, Bukoba-Kagera.
Imebainika kuwa pamoja na changamoto zilizojitokeza katika msimu wa kahawa wa mwaka 2018/2019 lakini bado mfumo wa uuzaji wa kahawa kupitia ushirika umekuwa wa manufaa kwa mkulima kutokana na mkulima kupata uhakika wa kilo za kahawa alizozipeleka chamani tofauti na ilivyokuwa hapo awali.
Manufaa hayo yamejili kutokana na kuingia mikataba ya kuuza moja kwa moja, ambapo matarajio ya serikali ni kuhakikisha kuwa mkulima analipwa malipo ya awali na kiasi kingine kubaki kwa ajili ya kuendelea kukusanya kahawa na kufanya maandalizi ya malipo ya pili.
Waziri wa kilimo Mhandisi Dkt Charles Tizeba amebainisha hayo Leo tarehe 6 Octoba 2018 wakati... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More