WANANCHI WATAKIWA KULIMA KILIMO BORA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANANCHI WATAKIWA KULIMA KILIMO BORA

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa semina ya mafunzo ya maafisa ughani yaliyoandaliwa na Serikali ya watu wa China kupitia Chuo Kikuu cha Kilimo cha China kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoinne SUA, ufunguzi huo ulifanyika Julai 10 mwaka huu katika chuo kikuu cha SUA.Mgeni rasmi ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe katikati waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi kutoka china watakaoendesha semina ya mafunzo kwa Maafisa Ughani yanayo husu kilimo chenye tija. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Kilimo Dkt.Marry Mwanjelwa.Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe katikati waliokaa akiwa kwenye picha ya pamoja na Maafisa mabalimbali kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo, Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Kilimo Dkt.Mary Mwanjelwa na kulia kwake ni Afisa kutoka Ubalozi wa China Prf. Lin Zhiyong.Naibu Waziri wa Kilimo Dkt.Mary Mwanjelwa wakati akitoa hotuba yake mbele ya wandishi wa h... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More