Wananchi watakiwa kutumia maharage ya SUA - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wananchi watakiwa kutumia maharage ya SUA

JAMII imeshauriwa kubadilika na kula maharage ya SUA Karanga ambayo yanatengenezwa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) huku yakiwa hayana gesi na yenye protini zaidi zinazopatikana katika nyama kwa afya. Anaripoti Christina Haule, Morogoro … (endelea). Meneja Utafiti wa Maharage hayo Profesa Paulo Kusolwa alisema hayo wakati wa maonesho ya wakulima 88 ...


Source: MwanahalisiRead More