Wananchi wenye hasira kali wamburuza Meya nyuma ya gari nchini Mexico kwa kutotimiza ahadi za uchaguzi - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wananchi wenye hasira kali wamburuza Meya nyuma ya gari nchini Mexico kwa kutotimiza ahadi za uchaguzi

Watu 11 wamekamatwa na kutiwa mbaroni kwa kosa la kumkamata meya wa kijiji chao kisha kumfunga katika gari na kumburuza mitaa mbalimbali.


Source: BBC SwahiliRead More