Wanandoa wafariki baada ya kufunga ndoa - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wanandoa wafariki baada ya kufunga ndoa

Wanandoa wachanga kutoka Texas nchini Marekani, wamefariki wakati Helikopta iliyokuwa ikiwasafirisha kutoka kwenye harusi yao kuanguka siku ya Jumatatu usiku kwa mujibu wa maafisa wa usalama nchini humo. Ajali hiyo ilitokea karibu na Uvalde karibu kilomita 135 magharibi mwa San Antonio, ambapo mara baada ya taarifa kusambaa kwenye mitandano ya kijamii, walioshuhudia harusi hiyo walianza


Source: Kwanza TVRead More