“Wanaomtaka Rabiot wanapoteza Muda” Tuchel - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

“Wanaomtaka Rabiot wanapoteza Muda” Tuchel

Thomas Tuchel amepuuza taarifa kuwa kiungo wake Adrien Rabiot ataondoka PSG, na kuwaomba mashabiki wa PSG kuwa na amani.Rabioti ni mchezaji ambaye kwa sasa anasakwa na vilabu zaidi ya 6 na vyote vikiwa na nia ya dhati kabisa kunasa kalamu ya kiungo huyo.


Kwani taarifa zinasemaje?

Taarifa zilisema kuwa Barcelona wapo mbioni kumnasa kiungo huko. Lakini Tuchel amewakata maini vigogo hao wa  Camp Nou, kwa kusema Rabiot ni mali ya PSG na ataendelea kubakia klabuni hapo?


Je kuna wengine wanammendea?

Hata hivyo vilabu vya Juventus, Bayern Munich na Chelsea vinafahamu fika kuwa Rabiot hana furaha sana klabuni hapo na anataka kuondoka. Inasemekana kuwa klabu ya Man City pia walifikia makubaliano na mchezaji hiyo ingawa taarifa hizo hazijathibitshwa na upande wowote. Fununu nyingine kutoka Liverpool na Tottenham zinasema kuwa kiungo huyo anahitajika kwa udi na uvumba Anfield na Hwite Hart Lane msimu ujao.


Lakini kocha wa PSG  Tuchel ameweka wazi kuwa hana mpango wa kumuuza  kiungo huy... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More