WANAOSOMA NJE WATAKIWA KUACHA KUPIGA DILI NCHI ZA WATU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANAOSOMA NJE WATAKIWA KUACHA KUPIGA DILI NCHI ZA WATU

Kaimu Mkuu was Chuo Cha Mtakatifu Joseph( SJUIT), Prof. Innocent Ngalinda akizungumza , wakati akiwaaga wanafunzi watano kati ya 80 wa Stadhahada ya Uhandisi wa Sayansi ya Komputa, wanaoenda nchini India kwa ajili ya kumalizia mwaka wa mwishoMkuu wa Chuo chaMtakatifu Joseph( SJUIT), Prof. Innocent Ngalinda, akitoa neno la mwisho kwa Wanafunzi wanaosafiri.Mwanafunzi wa Kike aliyepata nafasi ya kwenda India kusoma Masomo ya Uhandisi wa Kompyuta ,Sky Karoli akizungumza na Waandishi wa Habari.Mwanafunzi wa Kiume George Temu aakifafanua kwa Waandishi wa habari umuhimu wa kwenda kusoma India.
Na Humphrey Shao, Michuzi Tv

WANAFUNZI wanaopata ufadhili wa kwenda kusoma nje ya nchi, wametakiwa kujiepusha na shughuli za kufanya vibarua katika nchi za watu kwa lengo la kujipatia kipato na badala yake wazingatie kile kilichowapeleka.

Wito huo umetolewa na Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph( SJUIT), Prof. Innocent Ngalinda, wakati akiwaaga wanafunzi watano kati ya 80 wa Stadhah... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More