Wanaowania tuzo za wachezaji bora wa Uefa hawa hapa - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wanaowania tuzo za wachezaji bora wa Uefa hawa hapa
Wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kila nafasi uwanjani kwa msimu wa mwaka wa2017/18 wa UEFA Champions League imetolewa.


Real Madrid bado wameendelea kutawala kwenye tuzo za UEFA Champions League
Takwimu kwa namba


Madrid wamepitisha wachezaji 6, ikiwa ni pamoja na  Cristiano Ronaldo aliyekwendaJuventus baada ya kuisaidia Merengues taji la tatu mfululizo la UEFA Champions League kule mjini Kyiv mwezi Mei. Washindi watatajwa kule Monaco mwaka huu 30 August wakati wa upangaji wa makundi ya UEFA.


Washindani 2017/18 wa UEFA Champions League

Makipa: Alisson Becker (Roma, sasa Liverpool), Gianluigi Buffon (Juventus, sasa Paris), Keylor Navas (Real Madrid)


Walinzi: Marcelo (Real Madrid), Sergio Ramos (Real Madrid), Raphaël Varane (Real Madrid)


Viungo: Kevin De Bruyne (Manchester City), Toni Kroos (Real Madrid), Luka Modrić (Real Madrid)


Washambuliaji: Lionel Messi (Barcelona), Cristiano Ronaldo (Real Madrid, sasa Juventus), Mohamed Salah (Liverpool)


Tuzo hizi zilianz... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More