Wanasayansi nchini Italia njiani kuleta chanjo ya UKIMWI - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wanasayansi nchini Italia njiani kuleta chanjo ya UKIMWI

Baada ya utafiti wa muda mrefu matokeo ya majaribio ya wanasayansi nchini Italia yanaonesha kuna uwezekano mkubwa wa kuwa na chanjo ya UKIMWI (Upungufu wa Kinga Mwilini) katika miaka ya hivi karibuni. Utafiti wao mpaka ulipofikia imethibitika kwamba chanjo waliyoitengeneza imetoa majibu ambayo waliyakusudia, yaani kuwa na uwezo wa kutoa kinga dhidi ya VVU (Virusi [...]


The post Wanasayansi nchini Italia njiani kuleta chanjo ya UKIMWI appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More