Wanasoka washkaji wanaotikisa dunia - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wanasoka washkaji wanaotikisa dunia

WOTE ni wanasoka na wameamua kuwa maswahiba. Mason Mount na Declan Rice ni sura mpya ya wanasoka waliamua kuwa marafiki wakubwa, wakati huu wakikutana kwenye timu ya taifa ya England, huku wote wote wakiwa walianzia urafiki wao walipokuwa wadogo huko klabuni Chelsea.


Source: MwanaspotiRead More