WANAUME KUOGOPA KUPIMA TEZI DUME KISA AIBU NI UJINGA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANAUME KUOGOPA KUPIMA TEZI DUME KISA AIBU NI UJINGA

Huduma za uchukuaji vipimo zikiendelea katika viwanja vya Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza Licha ya kuwa na idadi kubwa ya wahitaji wa kupima afya, idadi ya madaktari wahudumu wa afya iliendana na kasi.
NA. GSENGOtV
Huduma rafiki. Hakuna jambo lililojema kama kuijua afya yako. Meza na meza vitengo kwa vitengo katika Uzinduzi wa Huduma za Kliniki za Jioni za Bure Hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza.  Bibi akipata vipimo. Jeh urefu wako unalingana na uzito wa mwili wako?  Je urefu wako uanalingana na uzito wa mwili wako?  Afya muhimu.Kushindwa kuzuia mkojo, yaani ukichelewa kidogo unaweza kukutoka bila breki, Maumivu wakati wa kukojoa, Kuishiwa nguvu za kiume, Kupungua kwa uwingi wa mbegu (low sperm count), Maumivu wakati unafika kileleni, Damu kutokea kwenye mkojo au kwenye mbegu za kiume, Maumivu nyuma ya mgongo au hata nyonga nk basi uonapo dalili hizo unaweza kuanza kuhisi una saratani ya tezi dume.
Kupitia dalili hizo ni wazi kwamba afya ya mgonjwa itakuwa matata... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More