WANAWAKE 7,648 WAKEKETWA MKOANI SINGIDA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANAWAKE 7,648 WAKEKETWA MKOANI SINGIDA

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo akizungumza kwenye uzinduzi wa mradi wa utetezi dhidi ya mila potovu na udhalilishaji wa kijinsia uliofanyika wilayani humo mkoani Singida juzi. Mradi huo unasimamiwa na Shirika lisilo la Kiserikali la Save Children for Central Tanzania (SMZZT). Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, Evalyen Lyimo.Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la Kiserikali la Save Mother and Children for Central Tanzania (SMZZT)Evalyen Lyimo akitoa taarifa ya utendaji katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa utetezi dhidi ya mila potovu na udhalilishaji wa kijinsia uliofanyika wilayani Ikungi mkoaniSingida juzi. Kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya hiyo, Haika Massawe na Mkuu wa Wilaya hiyo, Edward Mpogolo.
Na Dotto Mwaibale, Singida
JUMLA ya wanawake na watoto 7, 648 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi mkoani Singida wamekeketwa katika kipindi cha kuanzia mwaka 2016 na 2018 imefahamika.
Hayo yalielezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilokuwa la... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More