Wanawake wa Kigoma watoroka wakihofia wabakaji Tanzania maarufu 'Teleza' - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wanawake wa Kigoma watoroka wakihofia wabakaji Tanzania maarufu 'Teleza'

Wanawake wa Kigoma wanalazimika kuhama makazi yao ama kulala kwa kurundikana kutokana na kuhofia wabakaji wanaotumia mtindo unaojulikana kwa umaarufu kama 'teleza'.


Source: BBC SwahiliRead More