WANAWAKE WAASWA KUJITUMA ILI KULETA MAENDELEO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANAWAKE WAASWA KUJITUMA ILI KULETA MAENDELEO

 Mkurugenzi wa Kitengo cha Rasimali Watu Airtel Tanzania Stella Kibacha akitoa mada wakati wa mkutano wa wafanyakazi wa Airtel Tanzania uliandaliwa na kampuni ikiwa na maadhimisho ya kusherehekea siku ya wanawake duniani ambayo ulifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wafanyakazi wanawake Airtel Tanzania wakionyesha ujuzi wao wa kucheza muziki wakati wa mkutano wa wafanyakazi wa Airtel Tanzania uliandaliwa na kampuni ikiwa na maadhimisho ya kusherehekea siku ya wanawake duniani ambayo ulifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wikiKutoka kulia Mkurugenzi na Mwanzilishi wa taasisi ya Tanzania Saccos for Women Entrepreneurs (Taswe-Saccos) Anna Matinde, Mkurugenzi wa Mawasiliano Airtel Tanzania Beatrice na Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa kampuni hiyo Adriana Lyamba kwa pamoja wakikata keki wakati wa mkutano wa wafanyakazi wa Airtel Tanzania uliandaliwa na kampuni ikiwa na maadhimisho ya kusherehekea siku ya wanawake duniani ambayo ulifanyika jijini Dar es Sala... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More