Wanawake wanaotumia uzazi wa mpango waongezeka - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wanawake wanaotumia uzazi wa mpango waongezeka

SERIKALI kupitia Wizara ya Áfya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa idadi ya wanawake wanaotumia huduma za Afya za Kisasa za uzazi wa mpango zimeongezeka nchini mpaka kufikia Asilimia 32. Anaripoti Khalifa Abdallah … (endelea). Hayo yamesemwa na Waziri wa Áfya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati alipoupokea ...


Source: MwanahalisiRead More