WANAWAKE WAPEWA KIPAUMELE SIKU YA UBINADAMU DUNIANI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANAWAKE WAPEWA KIPAUMELE SIKU YA UBINADAMU DUNIANI

Mwanamke ambaye anayefanya kazi ya ubinadamu inchini 'Nigeria katika Mfuko wa ubinadamu, Adamawa State amaye anatoa huduma kwa mama mjamzizito nchini Nigeria. 
Na Mwandishi wetu
Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya ubinadunia ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo Agosti 19, ni siku ambayo walimwengu hukusanyika katika maeneo mbalimbali kuadhimisha na kuwapongeza watu wote waliojitolea nafsi zao kuokoa wanadamu wenzao na kufanya jitihada za kuifanya dunia hii kuwa mahala pa amani na usalama zaidi pa kuishi. 

Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa, António Guterres amesema kuwa "Tusaidie raia walio patwa na majanga au shida (crisis) hasa mlipuko wa magonjwa kwa binadamu hasa wanawake wakipewe kipaumbele wananwake ili kuwapa msaada wa kibinadamu kwa kujali utu kwanza". 
Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa Guterres  amesema kuwa watu wanaofanya kazi za kijamii kwaajili ya binadamu waliopatwa na majanga hasa watu waliojeruhiwa katika mapigano ya vita nchini Afghanistan na watu waliopata majanga ya ukosefu... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More