Wanawake wapigiwa debe kugombea nafasi Serikali za Mtaa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wanawake wapigiwa debe kugombea nafasi Serikali za Mtaa

WANAWAKE mkoani Morogoro wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu huku wakijitathmini wenyewe na kujiona wanatosha badala ya kusubiri kubebwa. Anaripoti Christina Haule, Morogoro … (endelea). Ushauri huo ulitolewa jana na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ...


Source: MwanahalisiRead More