Wanawake wengi hupenda wanaume wenye sifa hizi katika mahusiano ya kimapenz - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Wanawake wengi hupenda wanaume wenye sifa hizi katika mahusiano ya kimapenzKatika safari yeyote ile ya mahusiano ya kimapenzi baina ya mwanamke na mwanaume yapo mambo mbalimbali yanapaswa kuzingatiwa ili kufanya mahusiano hayo yaweze kudumu, na miongoni mwa vitu vitakavyofanya mapenzi yadumu ni pamoja na kuwako kwa tabia ambazo zitakazowasaidia wapenzi hao waweze kuelewana.

Muungwana blog inakusogezea kwako tabia  zifuatazo ambazo wanawake wengi huzipendelea kutoka kwa wanaume zao ili waweze kudumu katika mahusiano ya kimapenzi :

Mwanamke humpenda mwanaume mwenye kujali na kuheshimu hisia za mwanamke.
Endapo utapata mwanaume mwenye kujali hisia zako za kimapenzi basi huyo ndiye mwanaume sahihi kwako, kwani hukuna kitu kizuri kama kuwa kwenye mahusiano na mtu anajali hisia zako na si kuziumiza.

Mwanaume mwenye akili za utafutaji wa maisha.
Katika ulimwengu wa mahusiano hakuna kitu kizuri kama kumpata mwanaume mwenye akili timamu za utafutaji na upambanaji wa maisha, hivyo kila wakati ewe mdada mwenye uchu wa ndoa kama utaka mwanaume sahihi kwako basi unatakiwa kuh... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More