WANJUMBE WA SADC WAVUTIWA NA UWEKEZAJI WA VIWANDA NCHINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WANJUMBE WA SADC WAVUTIWA NA UWEKEZAJI WA VIWANDA NCHINI

*Rais Magufuli asifiwa kwa utendaji kazi, aungwa mkono, SADC kuleta mabadiliko chanya kwa wenye viwanda
*Kiwanda cha Keda Ceremics Limited kulipa kodi ya zaidi ya dola milioni 12 kwa Serikali
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
WIKI ya nne ya viwanda imehitimishwa kwa washiriki wa maonesho hayo kutoa nchi mbalimbali ndani ya jumuiya ya SADC kutembelea viwanda mbalimbali Tanzania bara na visiwani na kujionea namna viwanda hivyo vinavyofanya kazi pamoja na kutengeneza fursa mbalimbali hasa za masoko kwa wanajumuiya hao.
Ziara iliyofanywa katika kiwanda cha usindikaji wa matunda cha Elven agri kilichopo Mapinga Bagamoyo Mkoani Pwani walishiriki walijionea namna matunda yanavyochakatwa na kukaushwa na baadaye kusafirishwa katika nchi mbalimbali ndani ya jumuiya ikiwemo Botswana na Zambia pamoja na nchi za nje ikiwemo Marekani, kiwanda hicho chenye takribani ya heka 900 kinatoa ajira kwa wanawake na vijana pamoja na kushiriki shughuli za kiuchumi na kijamii ikiwemo kujenga shule pamoja na miundombin... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More