Waombaji 25,000 wakosea kuomba mkopo Elimu ya Juu - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Waombaji 25,000 wakosea kuomba mkopo Elimu ya Juu

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imewataka waombaji mikopo katika mwaka wa masomo 2018/2019 ambao fomu zao zina kasoro, kurekebisha kasoro hizo ndani ya siku saba kuanzia Septemba 24 hadi 30, 2018 ili wapangiwe mikopo. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na HESLB, inaeleza kwamba zaidi ...


Source: MwanahalisiRead More