WAOMBOLEZAJI NA VIONGOZI MBALIMBALI WAMIMINIKA MSIBA WA BABA YAKE MZAZI SALMA KIKWETE JIJINI DAR. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WAOMBOLEZAJI NA VIONGOZI MBALIMBALI WAMIMINIKA MSIBA WA BABA YAKE MZAZI SALMA KIKWETE JIJINI DAR.

Rais Mstaafu awamu ya nne,Mh Dkt Jakaya Kikwete akimpokea Rais Mstaafu awamu ya pili Mh.Alhaji Al-Hassan Mwinyi wakati wakiwasili Msasani kwenye msiba wa Baba mzazi wa mke wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mzee Rashid Mkwachu, aliyefariki dunia jana Alhamisi, Julai 19, 2018,ambapo maziko ya marehemu yanafanyika leo katika Makaburi ya Kisutu,jijini Dar. Rais Mstaafu awamu ya nne,Mh Dkt Jakaya Kikwete akiwa ameambatana na Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa aliyeambatana na Mkewe Marry Majaliwa wakati wakiwasili Msasani kwenye msiba wa Baba mzazi wa mke wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mzee Rashid Mkwachu, aliyefariki dunia jana Alhamisi, Julai 19, 2018,ambapo maziko ya marehemu yanafanyika leo katika Makaburi ya Kisutu,jijini Dar Rais Mstaafu awamu ya nne,Mh Dkt Jakaya Kikwete akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Mh Pinda,kwenye msiba wa Baba mzazi wa mke wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Sa... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More