WARAKA WANGU KWA WATANZANIA...TAIFA STARS NI YETU TUIAMINI NA KUISAPOTI... - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WARAKA WANGU KWA WATANZANIA...TAIFA STARS NI YETU TUIAMINI NA KUISAPOTI...

Na Dominick SalambaZimebaki siku chake kabla ya Fainal za mataifa ya Afrika zianze nchini Misri na miongoni mwa mataifa machache ambayo yamepata bahati ya kushiriki katika michuano hiyo ni Taifa letu pendwa la Tanzania..
Imepita takribani miaka 39 tukiwa washuhudiaji wa michuano hii kwa kuangalia mataifa ya wenzetu na kufikia hatua ya kujibatiza ushabiki wa kudumu kwa baadhi ya nchi masalani wapo ambao wanasema wao ni mashabiki wa Nigeria,Cameron,Ghana,Misri,Senagal na mengine mengi hii yote ilitokana na kitendo cha kua mashabiki wa mda mrefu kwa kushuhudia mataifa mengine yakishiriki..
Wakati wetu umefika na nitakua mchoyo wa fadhila kama sito pongeza juhudi za Serikali yetu,Tff,na wadau mbalimbali ambao walisimama kidete kwa nguvu,hali na mali hili tu kuona tunaingia kwenye historia ya soka la Afrika kwa mara nyingine..
Shukrani za pekee kama sio maalumu lazima nizitoe kwa benchi la ufundi likiongozwa na Emanuel Amunike na Wachezaji wote walioshiriki kuanzia mwanzo wa kuitafuta nafasi h... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More