WASAFI FESTIVAL: Vazi la Gigy Money jukwaani, lawatoa udenda wanaume wa Moro (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WASAFI FESTIVAL: Vazi la Gigy Money jukwaani, lawatoa udenda wanaume wa Moro (+video)

Jana usiku Gigy Money alikuwa ni moja ya wasanii waliotumbuiza kwenye jukwaa la W3asafi Festival mkoani Morogoro, ambapo kama kawaida yake alifanikiwa kusepa na kijiji, huku vazi lake la mitego likiwaacha midomo wazi wanaume waliojitokeza kushuhudia show hiyo.


The post WASAFI FESTIVAL: Vazi la Gigy Money jukwaani, lawatoa udenda wanaume wa Moro (+video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More