WASAFI FESTIVAL: Wolper alivyong’ang’aniwa na mwanaume jukwaani Morogoro (+Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

WASAFI FESTIVAL: Wolper alivyong’ang’aniwa na mwanaume jukwaani Morogoro (+Video)

Katika tamasha la wasafi Festival linaloendelea katika baadhi ya mikoa nchini Tanzania,limeweza kuwa na hamasa kubwa kwa vijana kwa kuonyesha mabadiliko katika tasnia ya burudani nchini.


Tamasha hilo tayari limefanyika katika mikoa mitatu ambayo ni Mtwara,Iringa na Morogoro, na katika tamsha lililofanyika Morogoro kuliibua tafrani baada ya msanii muigizaji Jacklini Wolper kumpandisha mwanaume Jukwaani.

Mwanaume huyo ambaye Wolper alimuita na baadaye mwanaume huyo aliamua kumganda Wolper mpaka pale Wolper alipomkumbatia ndio aliondoka.

Wolper aliitwa jukwaani na Steve Nyerere kwa ajili ya kwenda kuwapandisha Navy Kenzo jukwaani.


By Ally Juma.


The post WASAFI FESTIVAL: Wolper alivyong’ang’aniwa na mwanaume jukwaani Morogoro (+Video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More